Kwanza hosts watakua Anthony Anderson na Tracee Ellis Ross, wakali wa series ya "Black-ish" kutoka ABC
performances kanzia Nicki Minaj, Chris Brown na wakali kibao. Pia tutamshuhudia Alicia Keys akiperform, na hii itakua mara ya kwanza tangu alipo jifungua mtoto Genesis, December 2014
Sunday, June 28, 2015
Jinsi Comedian Lee Neeson alipo vamia stage ya Kanye West jana wakati wa Glastonbury Festival
Wakati mkali huyu akiperform katika umati wa watu walio hudhuria katika sherehe kubwa "2015 Glastonbury Festival" zilizo fanyika Worthy Farm, Pilton (june 27) England. Comedian Lee Neeson ghafla alivamia stage hiyo akiwa amevalia "LEE-Zus" t-shirt.
Lee alitweet na kusema nia ilikua kumsadia Kanye kwani baadhi ya watu hawakuona umuhimu wa Kanye kuperform katika sherehe hiyo.
Mpya toka kwa Rick Ross "Neighbourhood Drug Dealer (Remix) ft Future >>video
Akiwa bado anasongwa na kesi tatu mahakamani, hii haija mzuia the Big Boss kuachia video hii aliyo mshirikisha Future. Kubwa zaidi ni ile ya Kuteka na kutesa mtu in a GuestHouse, July 1 Rick Ross atapanda courting kujua hatima yake
Wednesday, June 17, 2015
Diamond azidi kuvunja record youtube

Ni msanii kutoka Tanzania anaye fanya mziki wa kizazi kipya, kwa miondoko ya Afropop kimataifa. Amekua na record nzuri zaidi tangu alipo fanya remix ya "Number One" na msanii Davido toka Nigeria, na video ikafanya vizuri Africa nzima, na kufikisha views Million 9 ndani ya mwaka mmoja na kumpatia tuzo mbalimbali kama zile za Afrimma na MAMA. Sasa avunja record kwa kuwa na views 1.3 Million ndani ya wiki mbili. Kwa Tanzania hamna video yoyote iliyowahi kufikisha views nyingi ndani ya mda mfupi kama ilivo fanya "nana".
Subscribe to:
Posts (Atom)