Diamond avunja record Youtube.
Ni msanii kutoka Tanzania anaye fanya mziki wa kizazi kipya, kwa miondoko ya Afropop kimataifa. Amekua na record nzuri zaidi tangu alipo fanya remix ya "Number One" na msanii Davido toka Nigeria, na video ikafanya vizuri Africa nzima, na kufikisha views Million 9 ndani ya mwaka mmoja na kumpatia tuzo mbalimbali kama zile za Afrimma na MAMA. Sasa avunja record kwa kuwa na views 1.3 Million ndani ya wiki mbili. Kwa Tanzania hamna video yoyote iliyowahi kufikisha views nyingi ndani ya mda mfupi kama ilivo fanya "nana".
No comments:
Post a Comment