Thursday, July 23, 2015

Aiseee Nuhu Na Shilole, Nia Yao Kumbe Ilikua Hii (Audio)


Siku kadhaa hapa nyuma tuliona majibizano flani @Instagram, wengi tukidhani kwamba jamaa wamezinguana tena, kumbe majibizano yote ilikua ni kama lyrics hivi, ya ngoma yao hii inayo itwa Ganda la Ndizi.
Imekua kawaida kusikia mambo kama haya kwa mastaa kadhaa, nadhan ni namna tu ya kupata attention kutoka kwa mashabiki, na mda mwingine ina tengeneza makundi kabisa, laikini kumbe nia ya wawili hawa ilikua tofauti kabisa. Kitu ambacho binafsi nadhani ni kizuri, unawapa watu kitu ambacho hata hawaku tarajia.

Ila sasa wakati mwingine inabidi watafute namna nyingine, kwani ni mara nyingi sasa wamekua kama na ogimvi hivi lakin kumbe ni michezo tu

Sikia Ganda la Ndizi hapa

Wednesday, July 22, 2015

Top Ten Ya Billboard 200, Album Ya Tyrese Yashika Namba Moja



Tyrese kasshika nafasi ya kwanza na Album yake ya "Black Rose" ambayo ipo sokoni tangu July 10. Hii inakua Album ya Sita ya Tyrese. Jamaa kampiga chini Meek Mill na album yake ya The Dreams Worth More Than Money iliyoshika namba moja kwa wiki mbili zilizopita. Wakati mwana dada Taylor Swift akishilia nafasi ya tatu na album yake ya 1989

Tyrese Amekua akifanya vizuri katika movies pia, we know how crazy he is akiwa kwa Camera, tumemuona katika Fast & Furious 7, movie ambayo inafanya vizuri sana sokoni. Hii ni ishara kwamba pocket ya Tyrese si mchezo kwa sasa.

Billboard 200 Top 10
1. Tyrese- Black Rose
2. Meek Mill- Dreams Worth More Than Money
3. Taylor swift- 1989
4. Kidz Bop Kids- Kids Bop 29
5. Ed Sheran- x
6. Sam Hunt- Montevallo
7. R5- Sometime Last Night
8. Meghan Trainor- Title
9. Maroon 5- V
10. Sam Smith- In The Lonely Hour

Ulilijua Hili, Diamond kutia Calenda Collabo Na D'Banj (Audio)




Issue nzima imezungumziwa leo katika XXL ya Clouds Fm, kumbe jamaa ilikua wafanye kazi kitambo na D'banj akawa anaona kama clue nzima ya Diamond pamoja na mameneja wake wanamrushia ivi.

Jamaa anasema labda ni kwasababu Diamond anakua akimake mkwanja mrefu kili iitwapo siku, na anasikia kila siu yupo Nigeria, kaomba apewe taarifa wafanye kazi watu waenjoy.

Msikia hapa D'banj pamoja na Majibu ya Diamond, pia kuna issue inaweza kuwapo inamuhusu Davido na Alikiba


Dakika Mbili Na Nusu Za "Faster" Ya Kid Ink (Video)


Faster ni ngoma ya pili katika Album ya Kid Ink "Full Speed", ambayo ipo sokoni tangu mwezi January. Ngoma yenyewe ina dakika mbili na sekunde ishirini na saba tu, katika hii Video jamaa ameshare nawe dakika mbili unusu. Katika Album hiyo kuna tracks kali kama Body Language, humo ndani kuna Usher, na nyingine kali kibao.

Na kuanzia August 25 jamaa atakua anaanza world tour "One Hell Of A Night Tour"

Nadhani jina la ngoma limeendana kabisa na mda ambao unaweza enjoy Video hii, lets go now, FASTER!!!!!!!!

Navy Kenzo & Vanessa Mdee "Game" (Audio)


Tumeona mambo mazuri sanaa kutoka kwa wasanii wa hapa nyumbani, wamekua wakishirikiana na kumake hit songs kadhaa, ambapo nyingi zimekua ni internationa hits, makundi kama Weusi, Navy Kenzo, Yamoto Band, na Lile la wapenzi wawili Jux na Vanessa Mdee.

Hii mpya leo, ni collabo inayo wahusu Navy Kenzo pamoja na Mwananadada aliyetoka kutuwakilisha katika tuzo za mama Vanessa Mdee, ngoma inaitwa "Game".

Isikie hapa chini;


Tuesday, July 21, 2015

Cheki Maamuzi Aliyo Chukua J-Cole Baada Ya Kurushiwa iPhone Usoni (video)



Haijulikani ni kwanini jamaa aliamua kimrushia simu J-cole, ila nikawaida kuona matukio kama haya kutoka kwa fans, watu wamekua wakirushiwa makopo ya maji, bia, viatu. Lakini huyu mtu aliamua kumbonda J-cole kwa simu, tena iPhone

Ilikua ni katika mji wa San Diego, J' alikua katika muendelezo wa tour ya The Forest Hill Dive Tour

Simu ilirushwa na kuilenga moja kwa moja pua ya J-cole, Lakini Cole alitulia kwa sekunde kadhaa kisha akaikota simu na kuitia mfukoni, na show ikaendelea.

Ilibaadae nadhani simu ilifunguliwa na Cole akaanza kupost ujinga uliopo katika simu hiyo Instagram, iwe kama adhabu kwa kichaa huyo


Uliipata Hii, Barua Iliyoandikwa na Eminem Kwenda kwa Mama 2-Pac (isome hapa)


Kati ya wakali ambao Eminem ametokea kuwaheshimu sana ni akiwepo mkali wa miaka ya 90, marehemu 2-Pac.

Na ili kuthibitisha heshima na shukurani kwa Rapper huyo, Eminem aliandika barua kwa mkono wake mwenyewe kwa Mama 2-pac. Barua hii ipo pia katika kitabu kinacho itwa "Tupac Remembered" cha mwaka 2007, pia inasemekana barua hiyo inaoneakana katika centre iliyopo Georgia (The Tupac Amaru Shakur Centre For The Arts).

Barua hii imeonekana katika mitandao siku za karibuni, na imeandikwa kwenda kwa mwana mama Afeni Shakur, moja ya matamu ndani ya barua hiyo, Eminem anasema "wewe ni malikia wa kweli,,,,,,haujui tu ni kwa kiasi gani mwanao na mziki wake,,,,vimekua ushawishi mkubwa katika kazi yangu" maneno ya Eminem.

Isome barua hapa chini;



Miley Cyrus Kuhost MTV's Video Music Awards 2015


Tumezoea kuona VMA's hosts wakiwa music artists au Actors (comedians), mwezi wa nane mwaka huu inakua tofauti kidogo, show nzima itasimamiwa na mwana dada hitmaker wa "wrecking ball".

Ni jumatatu hii ambapo MTV wametangaza rasmi kwamba mshereheshaji mwaka huu wa 2015 atakua mwana dada Miley . Miley kathibitisha hili kwa post hii "MTV won't let me perform ...   so I'm hosting this year's VMA's." 


ICYMI, is hosting the 2015 ! You ready?

VMA itaruka live Tarehe 30 mwezi wa 8, get raedy kwa TV



Hii ya Emanuel Austin ft Ben Pol "Ruka Juu" (video)


Nadhani unajua vile Ben Pol hakosei katika ngoma zake zote, Basi hii ameshirikishwa na Jamaa anajiita Emanuel Austin ni teacher wa kudance nchini Germany, Ngoma inaitwa "Ruka Juu" imepikwa na Fundi Samweli, now fanya ku bounce na hii video;


Cheki Hapa Ya Donald & Diamond Platnumz "Wangu" (video)


Unaambiwa jamaa waanafurahia sana kusikia Kiswahili, na Donald alipendelea ngoma hii ikaitwa kwa neno la kiswahili "wangu", wanadai kwamba wanahisi ikiwa katika kiswahili ina sound African zaidi, alisema diamond wakati akihojiwa na Millard Ayo

Audio pamoja na Video zimeachiwa ndani ya siku moja , basi Tazama video hapa chini;


Tuzo Za AFRIMMA 2015, Tanzania Ikiwakilishwa Na Watu Kibao



Tuzo zitafanyika Marekani October 2015, na mwaka umezidi kuwa wenye mafanikio zaidi kwa baadhi ya wasanii kutoka Tanzania na East Africa nzima kwa ujumla. Tunaona kina Diamond, Vannesa walivo tuwakilisha vizuri mwaka huu, mziki wa Bongo unazidi kuvuka mipaka kila leo.

Hii ni list nzima ya wasanii katika category mbalimbali, Tanzania tumewakilishwa na Mrisho Mopoto, Ommy Dimpoz, Diamond, Vanessa Mdee, Lady Jaydee, Alikiba, Khadija Kopa pia mpishi Sheddy Clever ametuwakilisha. Diamond Platnumz amekua nomited katika category Sita
Imekua ni vurugu aiseeeeeee
cheki hapa na list nzima.......

Best Male West Africa
Davido (Nigeria)
Serge Beynaud (Ivory Coast)
Wizkid (Nigeria)
Sarkodie (Ghana)
Flavour (Nigeria)
Carlou D (Senegal)
Olamide (Nigeria)
Stonebwoy (Ghana)
Best Traditional Artist
Flavour (Nigeria)
Kwabena Kwabena (Ghana)
Dobet Gnahore (Ivory Coast)
Ladysmith Black Mambazo (South Africa)
Mrisho Mpoto (Tanzania)
Soweto Gospel Choir (South Africa)
Tunakie (Namibia
Best Female West Africa
Yemi Alade (Nigeria)
Wiyaala (Ghana)
Tiwa Savage (Nigeria)
Viviane Child (Senegal)
Teeyah (Ivory Coast)
Becca (Ghana)
Almok (Togo)
Efya (Ghana)
Best Newcomer
Kiss Daniel (Nigeria)
Pappy Kojo (Ghana)
Korede Bello (Nigeria)
Lil Kesh (Nigeria)
Mz Vee (Ghana)
Fabregas (Congo)
Ommy Dimpoz (Tanzania)
Bebe Phillip (Ivory Coast)
Best Male East Africa
Eddy Kenzo (Uganda)
Jaguar (Kenya)
Diamond Platnumz (Tanzania)
Bebe Cool (Uganda)
Jackie Gosse (Ethiopia)
Ali Kiba (Tanzania)
Dynamq (South Sudan)
Best Video Director
Moe Musa (Nigeria)
Godfather (South Africa)
Clarence Peters (Nigeria)
Patrick Ellis (Nigeria)
Klasszik & JKP Studio (Angola)
Justin Campos (South Africa)
Ogopa Djs (Kenya)
Phamous Films (Ghana)
Best Female East Africa
Khadija Kopa (Tanzania)
Aster Aweke (Ethiopia)
Victoria Kimani (Kenya)
Vanessa Mdee (Tanzania)
Juliana Kanyamozi (Uganda)
STL (Kenya)
Irene Ntale (Uganda)
Best DJ Africa
Dj Jimmy Jatt (Nigeria)
Dj Exclusive (Nigeria)
Dj Cndo (South Africa)
Dj Black (Ghana)
Dj Creme de la Creme (Kenya)
DJ Shiru (Uganda)
Dj Joe Mfalme (Kenya)
Best Male Central Africa
Fally Ipupa (DR Congo)
Yuri Da Cunha (Angola)
Fabregas (Congo)
Nelson Freitas (Cape Verde)
Ferra Golla (Congo)
Corean Du (Angola)
Jovi (Cameroon)
Youssoupha (DRC)
Best African DJ – USA
DJ Shinski (Kenya)
DJ Ebou (Gambia)
DJ Ecool (Nigeria)
DJ Ronnie (Ghana)
DJ Dee Money (NG/US)
DJ Ronnie (GH/US)
Dj Amin (Ethiopia)
Dj Dozzy Ross (Nigeria)
Best Female Central Africa
Arielle T (Gabon)
Coco Argentee (Cameroon)
Betty Akna (Equitorial Guinea)
Lady Ponce (Cameroon)
Yola Semedo (Angola)
Laurette Le Pearle (DRC)
Mani Bella (Cameroon)
AFRIMMA Video of the Year
R2bees – Lobi (Ghana)
Wizkid Ojuelegba (Nigeria)
Flavour – Gollibe (Nigeria)
Diamond ft Flavour – Nana (Tanzania)
Tiwa Savage – My Darlling (Nigeria)
Bebe Cool – Love You Everyday (Uganda)
Juliana Kanyomozi – Woman (Uganda)
AKA – Congratulate (South Africa)
Best Male Southern Africa
AKA (South Africa)
Zeus (Botswana)
Cassper Noyvest (South Africa)
Slap Dee (Zambia)
Stunner (Zimbabwe)
Tha Dogg (Namibia)
Donald (South Africa)
Vee (Botswana)
Music Producer of the year
Shizzi (Nigeria)
Don Jazzy (Nigeria)
Killbeatz (Ghana)
Oskido (South Africa)
Nash Wonder (Uganda)
Sheddy Klever (Tanzania)
Legendary Beatz (Nigeria)
Dj Breezy (Ghana)
Best Female Southern Africa
Bucie (South Africa)
Toya De Lazy (South Africa)
Ice Queen Cleo (Zambia)
Busiwa (South Africa)
Punah Gabasiane (Botswana)
Lizha James (Mozambique)
Samantha Mogwe (Botswana)
Best Dance Group
CEO Dancers
Unique Silver Dancers
Level 5
Imagneto Dance Company
D3 Dancers
Best African Group
square (Nigeria)
Bana C4 (Congo)
Toofan (Togo)
Sauti Sol (Kenya)
B4 (Angola)
Black Motion (South Africa)
R2bees (Ghana)
Magic System (Ivory Coast)
Best Rap Act
Sarkodie (Ghana)
AKA (South Africa)
Olamide (Nigeria)
NGA (Angola)
Octopizzo (Kenya)
Phyno (Nigeria)
Cassper Noyvest (South Africa)
M.I (Nigeria)

Crossing Boundaries with Music
Fuse ODG (Ghana)
Wale (Nigeria)
Knaan (Somalia)
Nneka (Nigeria)
STL (Kenya)
Asa (Nigeria)
Jidenna (Nigeria)
Tinnie Tempah (Nigeria)
Best Collaboration
Harrysong, K Cee & Iyanya – Feel it
J Martins ft Koffi Olamide – Dance for Me
Serge Beynaud ft Eddy Kenzo – Lopangwe
AKA ft Burna Boy, Da L.E.S & J.R – All Eyes on Me
Toofan ft Dj Arafat – Apero
Stanley Enow ft Sarkodie – Njama Njama Cow Remix
P Square ft Don Jazzy – Collabo
Diamond ft Flavour – Nana

Best Dancehall Artist
Stonebwoy (Ghana)
Timaya (Nigeria)
MC Norman (Uganda)
Wax Dey (Cameroon)
Dr Jose Chameleon (Uganda)
Shatta Wale (Ghana)
Patoranking (Nigeria)
Buffalo Soldier (Zimbabwe)

Song of the Year
Wizkid – Ojuelegba (Nigeria)
Korede Bello – Godwin (Nigeria)
Lil Kesh ft Olamide, Davido – Shoki (Nigeria)
Stonebwoy ft Sarkodie – Baafira (Ghana)
Roberto – Amarula (Zambia)
Diamond Platnumz – Ntampata Wapi (Tanzania)
Sauti Sol – Sura Yako (Kenya)
Cassper Nyovest – Doc Shabaleza (South Africa)

Best Dance in a Video
Lil Kesh ft Olamide, Davido – Shoki (Nigeria)
Toofan – Orobo (Togo)
Sauti Sol – Lipala (Kenya)
Fabregas – Mascara (Congo)
Diamond and Flavour – Nana (Tanzania and Nigeria)
Os DeTroia – Bela (Angola)
Serge Beynaud – Okeninkpin (Ivory Coast)
Olamide – Shakiti Bobo (Nigeria)

Artist of the Year
Flavour (Nigeria)
Davido (Nigeria)
Diamond Platnumz (Tanzania)
Sarkodie (Ghana)
Cassper Noyvest (South Africa)
Fally Ipupa (Congo)
Eddy Kenzo (Uganda)
Wizkid (Nigeria)
Yemi Alade (Nigeria)
Bucie (South Africa)

Best Gospel Artist
Sammy Okposo (Nigeria)
Nikki Laoye (Nigeria)
Soweto Gospel Choir (South Africa)
Uche Agu (Nigeria)
No Tribe (Ghana)
Icha Kavons (Congo)
Ntokozo Mbambo (South Africa)
Willy Paul (Kenya)

AFRIMMA Inspirational Song
Bracket ft Diamond & Tiwa Savage – Alive (Nigeria & Tanzania)
Juliana Kanyomozi – Woman (Uganda)
Sarkodie ft Castro – Adonai (Ghana)
Jose Chameleon – Bwerere (Uganda)
Psquare ft Dave Scott – Bring it On (Nigeria)
Eddy Kenzo – Be Happy (Uganda)

AFRIMMA Best Humanitarian Artist
Sound Sultan (Nigeria)
Vanessa Mdee (Tanzania)
2face (Nigeria)
Lady Jaydee (Tanzania)
Wax Dey (Cameroon)
Buffalo Souljah (Zimbabwe)
Judith Sephuma (South Africa)
Unaweza piga kura hapa >>>> Nominees 2015 | – Afrimma