Sunday, July 12, 2015

Uinaikumbuka "Hit Em Up" Basi Rapper Hussein Fatal kafariki kwa ajali ya Gari



Ilikua ngoma ya 2-pac, humo ndani kama utakumbuka ilikua ni special message kwa BIG, Basi jamaa aliye Rap katika ngoma hiyo ambaye alikua member wa rap group "The Outlwas" clue ambayo ilianzishwa na Rapper 2-Pac. Jamaa wamethibisha kifo cha Hussein.
katika Hit Em ni jamaa aliye ingia hivi "Get out the way, yo, get out the way, yo. Biggie Smalls just got dropped."

RIP

Icheki video hapa;




No comments:

Post a Comment