Katika tuzo za MTV au zinafahamika na wengi kama MTV MAMA, jamaa kaibuka na Tuzo ya Video Kali Zaidi mwaka huu wa 2015 na ngoma iliyo mpa huu mshindi inaitwa "Nafukwa". Jamaa anaitwa Rikhado Makhado, akiwa katika kutafuta msosi tunamuita Rick Ricky, na ni mkali kutoka south Africa, Ngoma zilizo mpa umaarufu zaidi katika Game ni kama Boss Zonke, Sondela, Amatombanzane, Better Days pamoja na iliyo mpa tuzo Nafukwa.
Akiwa na mtoto wake, pia hiyo ndo cover ya Album yake.
Cheki hapa "Nafukwa" ngoma iliyo chukua Best Video Of the Year
Usisahau kwamba jamaa kashirikiswa na kufanya ngoma kibao na wakali kama Cassper Nyovest, Dales Major League DJ's (Mapacha hawa), Anati na wakali wengine kibao.
Cheki na hii pia, Kashirikishwa na Dj Speedsta, ndani kuna Cassper na Anati;
No comments:
Post a Comment