Katy perry, Hit Maker wa "The Dark Horse", ni baada ya kumaliza world tour iliyo mfanya awe kati ya celebrities wanaoingiza mkwanja mrefu Duniani, imefanya kuwa top three akiwa na wapiga ngumi, Floyd na Manny Pacquiao.
Upande wa Floyd, kama anavofahamika The Money guy, kwanza anamaliki gari aina ya “Koenigsegg CCXR Trevita” ambazo zipo tatu dunia nzima, gari lenye thamani ya millioni $4.8
Ukiachana na List ya wakali walishika nafasi kumi za kwanza, wakiongozwa na Floyd Mayweather akiwapo mwansoka Christiano Ronaldo pia. Mwanamama Beyonce ameshuka kutoka nafasi ya Kwanza aliyoshilikia mwaka jana hadi nafasi ya 29. Walio fanya vizuri mwaka huu pia yupo Lady Gaga kashika namba 29, Puff Daddy 21, wakati Jay Z kasikilia 28 akifuatana na Beyonce
Cheki top Ten hapa chini
1. Floyd Mayweather ($300 million)
2. Manny Pacquiao ($160 million)
3. Katy Perry ($135 million)
4. One Direction ($130 million)
5. Howard Stern ($95 million)
6. Garth Brooks ($90 million)
7. James Patterson ($89 million)
8. Robert Downey Jr. ($80 million)
9. Taylor Swift ($80 million)
10. Cristiano Ronaldo ($79.5 million)
No comments:
Post a Comment