Friday, July 3, 2015

Ruby na The Hit Song "Na Yule"




Jana usiku katika Friday night live EATV, kipindi kinachosikika pia kupitia East Africa Radio Sam Misago alikua na mkali wa hit song Ruby “Na Yule” pia kumbuka kwamba video hii ilifanywa Kenya na Kevin Bosco, Jamaa alie uza sura na Ruby katika kichupa hiki ni model  Mkenya. Audio ilifanywa bongo na producer Thudd Thomasi, Epic Records.
Barnaba ndiye mwandishi wa ngoma, ngoma mwanzo ilikua juu ya gitaa tu na ilikua slow zaidi ya unavo isikia hivi sasa, but Ruby anadai Barnaba  ndie aliye change pia Temple ya ngoma hii na kwamba barnabs ana ngoma kibao kaandika,,so ilikua easy kuja na hii.. 



Kuhusu mahusiano, Ruby alidai kuwa ni kweli kaachana na Boyfriend aliyekua nae. Na yote hiyo ni kilingana na maisha kubadilika, ati wameachana na ni kwaasababu ambazo hawez kuzisema lakini si kweli kwamba kaachana eti kisa kawa star, but ilikua  kabla hata hajamake the hit song Na Yule



No comments:

Post a Comment