Wednesday, July 22, 2015

Navy Kenzo & Vanessa Mdee "Game" (Audio)


Tumeona mambo mazuri sanaa kutoka kwa wasanii wa hapa nyumbani, wamekua wakishirikiana na kumake hit songs kadhaa, ambapo nyingi zimekua ni internationa hits, makundi kama Weusi, Navy Kenzo, Yamoto Band, na Lile la wapenzi wawili Jux na Vanessa Mdee.

Hii mpya leo, ni collabo inayo wahusu Navy Kenzo pamoja na Mwananadada aliyetoka kutuwakilisha katika tuzo za mama Vanessa Mdee, ngoma inaitwa "Game".

Isikie hapa chini;


No comments:

Post a Comment