Thursday, July 9, 2015

Wakati Huu Wamekuja Na Hii "Panya" Bracket Ft Tecno (Video)





Bado una hamu ya kudance, basi ngoma hii kutoka kwa Bracket na hakika itakua ina rock sana katika clubs kibao Africa, kwanza jina la ngoma tu, inaitwa "Panya", imefanywa na wakali kutoka Nigeria wamemshilikisha Tecno,

Huyu jamaa anaye jiita Tecno, ni jamaa wa Made Men Music, kuna ngoma ambayo haikuvuma sana imefanywa na hawa jamaa ndani kuna Iyanya pamoja na Selebobo inaitwa "Say Yeah" ni ya Triple  MG. Unaweza kuitazama Video ya hiyo ngoma hapa chini
   




No comments:

Post a Comment