Tuesday, July 7, 2015

Kama Bado Haujaipata hii kuoka kwa The Weeknd "The Hills" (Video)





Anaitwa Abel Tesfaye, ana umri wa miaka 25, jamaa anatokea Canada, umaarufu wake aliupata pale alipo anza kupost video kadhaa Youtube, Video ya "Earned" It ilikua moja kati ya video zilizo kua na views nyingi YouTube hadi sasa ina views 141,156,282 ikiwa na miezi Sita pia ilikua nominated katika tuzo kadhaa ikiwamo BET Awards 2015. Alijinyakulia Tuzo za Centric Awards. Nimekuletea hii pia, ambayo inazidi kua na views wengi kila siku, ina views 56,027,190 ikiwa na siku 11 tu.





Pia kafanya kazi na wakali kibao, pamoja na ile alofanya na mwanadada kutoka UK, Ariana Grande ngoma inaitwa "Love Me Harder". Ngoma ilifanywa Novemba mwaka jana.


No comments:

Post a Comment