Tuesday, July 21, 2015

Cheki Maamuzi Aliyo Chukua J-Cole Baada Ya Kurushiwa iPhone Usoni (video)



Haijulikani ni kwanini jamaa aliamua kimrushia simu J-cole, ila nikawaida kuona matukio kama haya kutoka kwa fans, watu wamekua wakirushiwa makopo ya maji, bia, viatu. Lakini huyu mtu aliamua kumbonda J-cole kwa simu, tena iPhone

Ilikua ni katika mji wa San Diego, J' alikua katika muendelezo wa tour ya The Forest Hill Dive Tour

Simu ilirushwa na kuilenga moja kwa moja pua ya J-cole, Lakini Cole alitulia kwa sekunde kadhaa kisha akaikota simu na kuitia mfukoni, na show ikaendelea.

Ilibaadae nadhani simu ilifunguliwa na Cole akaanza kupost ujinga uliopo katika simu hiyo Instagram, iwe kama adhabu kwa kichaa huyo


No comments:

Post a Comment