Tuesday, July 21, 2015

Miley Cyrus Kuhost MTV's Video Music Awards 2015


Tumezoea kuona VMA's hosts wakiwa music artists au Actors (comedians), mwezi wa nane mwaka huu inakua tofauti kidogo, show nzima itasimamiwa na mwana dada hitmaker wa "wrecking ball".

Ni jumatatu hii ambapo MTV wametangaza rasmi kwamba mshereheshaji mwaka huu wa 2015 atakua mwana dada Miley . Miley kathibitisha hili kwa post hii "MTV won't let me perform ...   so I'm hosting this year's VMA's." 


ICYMI, is hosting the 2015 ! You ready?

VMA itaruka live Tarehe 30 mwezi wa 8, get raedy kwa TV



No comments:

Post a Comment