Thursday, July 9, 2015

Mpya, Baraka Da Prince Ft Ruby-Nivumilie (Audio)



Akiwakilisha mkoa ulio jaa mawe na vipaji kibao, Baraka Da Prince amekua na hits kadhaa hadi sasa, ikiwamo ile iliyo pigwa kila kona ya nchi hii "basi nenda", usisahau pia amejinyakulia moja kati ya Tuzo Kubwa hapa Nchini KTMA 2015, kama Msanii Bora Chipukizi. Sasa amekuja na hii akimshilikisha mwanadada Ruby, kwa pamoja mwaka 2015 umekua wa mafanikio makubwa kwao kimziki, sikia sauti za chipukizi hawa, ngoma inaitwa "nivumilie" nimejaribu kucheki idadi ya watu walio play hii noma online, katika Audiomack, watu 994 wamefanya kuplay hadi sasa

No comments:

Post a Comment