Video imefanywa na jamaa anajiita Mr Moe Musa, jamaa ni wa England ila videos nyingi anafanya na wakali kutoka Africa, hii sasa ni ya D'banj ngoma inaitwa "Knocking On My Door" huyu director kafanya videos za wakali kibao Africa ya Magharibi, kuna videos kibao za Wizkid kafanya huyu jamaa.
Itazame video hapa;
No comments:
Post a Comment