Tuesday, July 7, 2015

Leo Nakukumbusha Let It Shine, Hii ya Trevor Jackson "I'll Be Who You Love" (Video)


Hii video ilikua December 2014, jamaa kwa sasa ana miaka 18, Sikia kipaji hicho, lakini tazama muonekano wake katika Video hii, special for Christmas
Pia jamaa ana weza kua ana date na mwanadada Zendaya(18), mkali wa hit song "Replay" pia alioneka na kufahamika zaidi kwa dunia kupitia Disney Channel Series "Shake It Up"





Tazama hii pia "New Thang" dogo anajua aiseeee!!!!!

No comments:

Post a Comment