Tuesday, July 21, 2015

Uliipata Hii, Barua Iliyoandikwa na Eminem Kwenda kwa Mama 2-Pac (isome hapa)


Kati ya wakali ambao Eminem ametokea kuwaheshimu sana ni akiwepo mkali wa miaka ya 90, marehemu 2-Pac.

Na ili kuthibitisha heshima na shukurani kwa Rapper huyo, Eminem aliandika barua kwa mkono wake mwenyewe kwa Mama 2-pac. Barua hii ipo pia katika kitabu kinacho itwa "Tupac Remembered" cha mwaka 2007, pia inasemekana barua hiyo inaoneakana katika centre iliyopo Georgia (The Tupac Amaru Shakur Centre For The Arts).

Barua hii imeonekana katika mitandao siku za karibuni, na imeandikwa kwenda kwa mwana mama Afeni Shakur, moja ya matamu ndani ya barua hiyo, Eminem anasema "wewe ni malikia wa kweli,,,,,,haujui tu ni kwa kiasi gani mwanao na mziki wake,,,,vimekua ushawishi mkubwa katika kazi yangu" maneno ya Eminem.

Isome barua hapa chini;



No comments:

Post a Comment