Friday, July 3, 2015

Miguel - WILD HEART Toleo La Kwanza, Find What You Love And Let It Kill You (video)


                                                          "wildhearts" cover art 2015

Wildhearts ni Album ya tatu ya Miguel, imekua  released tangu June 29, 2015 na ByStorm Entertainment and RCA Records. Ni Album ya Tatu baada ya "kaleidoscope" ya 2012. Ndani kuna ngoma kama Coffee na Hollywood Dreams ina ngoma 12 . Hii ni kama ukurasa wa kwanza wa ngoma zilizopo katika Album hii...watu wameeita the Summer Album
Mwezi huu wa saba yupo katika Tour ya WildHeart akianzia miji ya Marekani na nchi za Ulaya, matarajio ni kwamba Album hii itafanya mabadiriko makubwa katika mauzo ya Album za R&B. Tutegemee kumuona pia katika nafasi nzuri za celebrities wanao lipwa vizuri. Kila ngoma ni kali katika Album hii, huyo ndiye Miguel nusu Mexican-American na Black- American 

Tazama pia video ya Coffee hapa chini;


No comments:

Post a Comment