Friday, July 3, 2015

Video Mpya Kcee "Love Boat" ft Diamond Platnumz (Video)


Mkali kutoka West Africa Kcee aliye fanya collaborations kibao hadi sasa ikiwapo ile ya Shetta, sasa akiwa na Diamond wanakuletea video hii ya single iliyo kuwa released wiki kadhaa nyuma. Video imefanya na Nick Roux wa Molotov Cocktail, South Africa, tazama video hapo chini.....


1 comment: